CHATANDA ATIMIZA AHADI YA NG’OMBE WAWILI KWA MAGEREZA

……….. Na: Mwandishi Wetu, KOROGWE Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (MCC) na Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Mary Chatanda, ametimiza ahadi yake ya kutoa ng’ombe wawili wa maziwa kwa Magereza mawili ya wilayani…

Read More

China kuendeleza ukuaji wa viwanda Tanzania

Dar es Salaam. China imeeleza nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kukuza maendeleo ya viwanda, hususan katika uzalishaji, uhamishaji wa teknolojia na maendeleo ya ujuzi. Akizungumza Machi 11, 2026 wakati wa ziara katika kiwanda cha kuunganisha malori ya Howo kinachomilikiwa na Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, Balozi wa China nchini…

Read More

Chadema yaiambia UN mabadiliko ya kikatiba muhimu Tanzania

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemweleza Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) kuwa msimamo wa chama hicho ni uchunguzi huru ufanyike ili wale wote waliobainika kuhusika na vurugu za Oktoba 29,2025  zilizosababisha vifo na majeruhi wawajibishwe. Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa jana Jumanne  Machi 10,2026 Chadema,…

Read More

Rais Samia Amuasili Mtoto Mchanga Aliyetelekezwa Tabora

Bakari Mahundu March 11, 2026 0 Comments Picha ya Rais Samia Suluhu Hassan Akiwa na Mtoto Aliyemuasili Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo tarehe 11 Machi, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu, alitelekezwa mjini…

Read More

Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 yasherekewa kwa Kishindo- Kilombero Sugar

WAFANYAKAZI Wanawake kutoka Kampuni ya Sukari Kilombero walikusanyika kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 chini ya kauli mbiu “Give to Gain” Tukio hili lilijumuisha tafakuri za Uwezeshaji, kushirikishana maarifa, kutambua wafanyakazi walio hudumu muda mrefu na liliheshimiwa kwa uwepo wa Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bi. Diana Mwakitwange, kama Mgeni Rasmi. Kampuni ya Sukari Kilombero…

Read More

Hizi ndio sababu Kisena wa ‘Udart’ na wenzake kuachiwa huru

Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania, imebatilisha hukumu na kufuta adhabu waliyopewa, aliyekuwa mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart), Robert Kisena na wenzake wawili na kisha kuwaachia huru. Kisena na wenzake, Charles Newe aliyekuwa pia mkurugenzi wa Udart na Tumaini Kulwa aliyekuwa Mtunza Fedha (Cashier), Udart, walipatikana na hatia ya makosa ya Uhujumu…

Read More

Kwa hali hii matumizi ya gesi yetu hayaepukiki

Niliwahi kuulizwa na rafiki wa Kijerumani: “kinywaji chenu asilia ni kipi? Tulikuwa katika mapumziko nje ya Motel Agip. Ili kumjibu haraka nilimuita muuza madafu. “Mchongee moja laini huyu mgeni wangu.” Muuza madafu alitomasa bidhaa zake, akauliza, “maji au nyama?” Nilimwambia maji maana mgeni huyu hakuuliza chakula, bali kinywaji. Akachongewa dafu na kuyafurahia maji yake. Wakati…

Read More