Mvutano wazuka mabasi kuhamishiwa kituo cha Kange Tanga
Tanga. Mvutano umeibuka katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Tanga (RCC) baada ya wajumbe kutofautiana kuhusu mpango wa kuhamishia mabasi ya abiria yanayokuwa katikati ya jiji kwenda kwenye kituo kikuu cha mabasi cha Kange. Kikao hicho kilikuwa kikijadili mapendekezo ya makadirio ya bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027. Katika mitazamo miwili tofauti,…