Wananchi Kalambo wamtaka DC Lijualikali mbele ya Dk Mwigulu
Dar es Salaam. Wananchi wa Wilaya ya Kalambo, Mkoa wa Rukwa wameonyesha wazi imani yao kwa Mkuu wa Wilaya (DC) anayekaimu, Peter Lijualikali, wakitaka aendelee kubaki katika nafasi hiyo baada ya kuonekana kushughulikia changamoto za wananchi ndani ya muda mfupi tangu aanze kuiongoza wilaya hiyo. Sauti hiyo ya wananchi ilisikika wazi wakati wa mkutano wa…