SERIKALI YAENDELEA KUWAPA WANAWAKE NGUVU YA UMILIKI WA ARDHI KUPITIA SAMIA ARDHI KLINIKI
JUMLA ya wanawake 1916 wamefika katika viwanja vya Ofisi za Ardhi kufuatilia hati zao za ardhi na kupata huduma mbalimbali za masuala ya umiliki wa ardhi kupitia programu maalumu ya Samia Ardhi Kliniki inayofanyika Mkoa wa Dodoma. Wanawake hao wamejitokeza kwa wingi kupata elimu kuhusu haki za umiliki wa ardhi, ushauri wa kitaalamu pamoja na…