SEKTA YA MAZIWA YAPATA NGUVU MPYA: WAKAGUZI WAPEWA MAFUNZO MOROGORO
Sekta ya maziwa nchini imepata msukumo mpya kufuatia kuanza kwa mafunzo maalum kwa wakaguzi wa maziwa kutoka mikoa ya Morogoro, Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Pwani yanayofanyika mkoani Morogoro kwa siku Tatu, yakilenga kuimarisha ubora, usalama na ushindani wa bidhaa za maziwa katika soko la ndani na nje ya nchi. Akifungua rasmi mafunzo hayo Machi 23,…