Mlipuko Mkubwa Watikisa Uwanja wa Ndege wa Dubai Baada ya Drone Kuanguka
Global Publishers March 7, 2026 0 Comments Taharuki kubwa imeripotiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai kufuatia mlipuko mkubwa unaodaiwa kusababishwa na drone ya kujitoa mhanga inayodaiwa kutoka Iran. Tukio hilo limetokea leo Jumamosi karibu na maeneo ya vituo vya abiria katika uwanja huo wenye shughuli nyingi zaidi katika jiji la Dubai. Kwa…