KWANINI SERIKALI INASHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI
:::::: Na Mwandishi wa OMH Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) leo, Machi 5, 2026, imesema Serikali iliamua kushirikiana na sekta binafsi katika uendeshaji wa baadhi ya mashirika ili kuongeza ufanisi, mtaji na matumizi ya teknolojia katika kuendeleza uchumi wa nchi. Mkurugenzi wa Usimamizi wa Utendaji, Ufuatiliaji na Tathmini ya Mashirika ya Kibiashara kutoka OMH,…