Iran: Tunawasubiri Uvamizi wa Wanajeshi wa Marekani ardhini, Tuko tayari
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema nchi yake iko tayari kukabiliana na uwezekano wa uvamizi wa ardhini kutoka kwa wanajeshi wa Marekani, huku akisisitiza kuwa Iran haitaogopa shinikizo la kijeshi. Akizungumza katika mahojiano ya video na mtangazaji Tom Llamas wa kipindi cha…