TBA YASHIRIKI KLINIKI YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI DODOMA

  Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Dodoma unashiriki katika Kliniki maalum ya kutatua kero na changamoto mbalimbali za wananchi iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, inayofanyika tarehe 3 hadi 6 Machi, 2026 katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Kupitia kliniki hiyo, TBA inakutana na wateja wake ambao ni wapangaji…

Read More

ALHIKMA FOUNDATION YATANGAZA MASHARTI 10 YA NDOA 130

:::::::: Msharti 10 yaliyotangazwa na Taasisi ya Al-Hikma ili kutimiza kigezo cha kufanikisha mchakato huo.  Miongoni mwa masharti hayo yaliyotangazwa na mkurugenzi wa taasisi hiyo, Sheikh Nurdin Kishki ni pamoja na mwanamke ndio akachukue fomu ya mchakato huo, awe Mtanzania, muombaji asiwe na mume na huyo mtarajiwa wake asiwe na mke.  Mengine ni awe ameposwa…

Read More

TANZANIA YAENDELEA KUJITANGAZA KWENYE MAONESHO YA ITB BERLIN 2026

…….. Tanzania inaendelea kujitangaza kimataifa katika maonesho ya utalii ya ITB Berlin 2026, ambapo Makumbusho ya Taifa laTanzania (NMT) inashiriki kikamilifu katika kampeni ya “Tourism Beyond Safaris.” Katika maonesho hayo, NMT inatangaza vivutio vya utalii wa urithi wa historia na utamaduni kama vile Olduvai Gorge pamoja na magofu ya Kilwa Kisiwani na maeneo mengine ya…

Read More

Soko jipya Kawe lakamilika, wafanyabiashara kicheko

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wa Soko la Kawe wameanza kupata matumaini mapya baada ya Serikali kutangaza kukamilika kwa ujenzi wa soko jipya la muda kufuatia soko la awali kuteketea kwa moto. Hatua hiyo inatarajiwa kuwapa nafuu wafanyabiashara waliopoteza maeneo yao ya biashara kwa tukio la moto kwa sasa kuwaruhusu kuingia eneo lililoboreshwa kuendelea na shughuli…

Read More

RAIS DKT. MWINYI AIHIMIZA BENKI YA KCB KUSHIRIKIANA NA SMZ KUWAWEZESHA VIJANA

……. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumzia changamoto zinazowakabili vijana, ameisisitiza benki ya KCB Tanzania kupitia programu ya kurudisha fadhila kwa jamii kushirikiana na Wizara ya Vijana, Ajira na Uwezeshaji kutafuta njia bora na endelevu zitakazowanufaisha vijana, hususan katika suala la uwezeshaji wa mikopo kwa vijana…

Read More