Wamiliki wa viwanda wakumbushwa kuboresha mazingira ya kazi

Pwani. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Rahma Kisuo ameziagiza menejimenti za viwanda mkoani Pwani kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya wafanyakazi ili kuhakikisha uzalishaji unakuwa endelevu na wenye tija. Kisuo ametoa agizo hilo Machi 4, 2026 wakati wa ziara yake ya kufuatilia utekelezaji wa sheria mbalimbali za…

Read More

Wanawake, watoto 41,000 kunufaika usawa wa kijinsia

Unguja. Katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, mradi wa pamoja wa kukuza usawa wa kijinsia umezinduliwa ukilenga kuwanufaisha zaidi ya wanawake na watoto 41,000 nchini. Mradi huo wa miaka mitano, unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB), unalenga kutoa mikopo yenye masharti nafuu pamoja na kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Mbali…

Read More

Mtandao wa utapeli wanaswa na laini 198, kadi 148 za benki

Morogoro. Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limefanikiwa kuvunja mtandao wa utapeli wa simu, maarufu halohalo, baada ya kuwakamata watuhumiwa 10. Katika operesheni hiyo, polisi pia wamekamata laini 198 za simu na kadi 148 za benki kutoka taasisi mbalimbali za kifedha. Watuhumiwa hao walikamatwa Machi 3, 2026 katika operesheni maalumu iliyofanyika Kitongoji cha Magoha, Kata ya…

Read More

Simulizi za wazazi malezi ya watoto njiti

Dar es Salaam. Kwa wazazi wa watoto njiti, kila pumzi ya mtoto ni ushindi na kila usiku wa hofu ni hatua nyingine kuelekea kwenye mwanga wa kesho. Mohammed Salim anakumbuka siku ya Mei 5, 2017 ambayo maisha yake na ya mkewe yalibadilika kwani wakati wao wakiwa wamejiandaa kupata mtoto wa pili, safari yao iligeuka kuwa…

Read More

Video: Iran Yasema Imewaua Wanajeshi 500 Wa Marekani

Bakari Mahundu March 5, 2026 0 Comments kiongozi wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani Iran imedai kuwaua zaidi ya wanajeshi 500 wa Marekani katika mapigano yanayoendelea, kwa mujibu wa kiongozi wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani. Kupitia mtandao wa X, alimshutumu Rais wa Marekani, Donald…

Read More

DMO Kahama azomewa, Kihongosi akisikiliza kero za wananchi

Kahama. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametumia takribani saa tatu kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Phantom mjini Kahama, huku Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO), Baraka Msumi akizomewa na wananchi wakati akijibu malalamiko ya huduma za afya. Kihongosi yupo mkoani…

Read More

DMO kahama azomewa, Kihongozi akisikiliza kero za wananchi

Kahama. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi ametumia takribani saa tatu kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Phantom mjini Kahama, huku Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO), Baraka Msumi akizomewa na wananchi wakati akijibu malalamiko ya huduma za afya. Kihongosi yupo mkoani…

Read More