Wamachinga waliyoondolewa mitaa ya Uhuru na Msimbazi, Kariakoo
Dar es Salaam. Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imewaondoa wamachinga waliokuwa wakifanyabiashara katika barabara za Uhuru na Msimbazi, eneo la Kariakoo, katika utekelezaji wa tangazo lililotolewa awali kuwataka kuondoka katika maeneo yasiyoruhusiwa. Hatua hiyo ni utekelezaji wa tangazo lililotolewa na Mkurugenzi wa Jiji, Elihuruma Mabelya, Februari 17, 2026, lililobandikwa katika mitaa mbalimbali ya…