Takukuru ilivyookoa Sh51 milioni Shinyanga

Shinyanga. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Shinyanga, imeokoa Sh51.75 milioni, ikiwa ni thamani ya vifaa vya ujenzi wa miradi ya maendeleo, huku ikiendelea na uchunguzi wa mzabuni aliyenunua vifaa bila kuviwasilisha katika mradi. Hayo yamethibitishwa leo Jumatano, Machi 4, 2026, na Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Shinyanga, Donasian Kessy, wakati…

Read More

Nani Kukupatia Pesa Mechi za Leo?

PESA iko nje nje leo hii kwenye mechi za ligi mbalimbali ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi. EPL kama kawaida kuna mechi kali ambayo itapigwa leo Chelsea atakuwa ugenini dhidi ya Aston Villa ambao wapo nafasi ya…

Read More

Sintofahamu ya sheria na raia kugonga treni

Dar es Salaam/mikoani. Ndani ya takribani mwezi mmoja, vimetokea vifo vya watu wawili waliogonga treni katika matukio tofauti, ambavyo vimeibua maswali lukuki kuhusu uzingatiaji wa sheria za reli, tahadhari zinazotolewa katika vivuko na nidhamu ya watumiaji wa barabara. Tukio la karibuni lilitokea Februari 23, 2026 katika eneo la Tabata Relini (Mwananchi)  jijini Dar es Salaam…

Read More

BALOZI LUVANDA AITAKA NCMC KUYAFIKIA MASOKO YA KIMATAIFA

Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Baraka Luvanda amekitaka Kituo cha Taifa cha Kufuatilia Kaboni (NCMC) kuimarisha na kupanua wigo wa ushiriki wa Tanzania katika masoko ya kimataifa ya kaboni. Amesema ushiriki huo upewe msukumo kupitia uhifadhi ya mazingira na miradi ya kaboni katika sekta zote za Uchumi wa buluu,…

Read More