Simulizi ya Othman miaka mitano ya visa, mkasa kwenye siasa
Miaka mitano imepita tangu Othman Masoud Othman alipoingia rasmi kwenye siasa, baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Machi Mosi, 2021 kupitia chama chake cha ACT Wazalendo. Othman, maarufu kama OMO, aliteuliwa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Maalim Seif Sharif Hamad, aliyefariki Februari 17, 2021 kiongozi wa siasa za upinzani visiwani…