Baba Levo, AG kidedea, mahakama yakataa nyaraka kukaguliwa
Kigoma. Mahakama Kuu Kigoma, imekataa maombi ya kukagua na kujiridhisha kuhusu nyaraka mbalimbali za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 katika jimbo la Kigoma Mjini. Nyaraka hizo ni pamoja na kujiridhisha juu ya uwepo wa nakala halisi ya daftari la wapiga kura lililotumiwa katika kila kituo cha uchaguzi kuidhinisha mpigakura, fomu za matokeo kwa kila…