Sungusungu waliohukumiwa kwa mauaji walivyoepa kitanzi

Arusha. Mahakama ya Rufaa imebatilisha hukumu ya kunyongwa hadi kufa iliyokuwa imetolewa dhidi ya sungusungu watatu baada ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya mfanyakazi wa Chemi and Cortex Industries Limited, David Albert. Katika rufaa ya jinai namba 503/2024, Juma Said, Emmanuel John na Aman Saniel wameachiwa huru. Awali, Mei 4, 2023, Mahakama Kuu ilikuwa imewahukumu…

Read More

Wizara yawezesha wanawake kufikia fursa kiuchumi

Unguja. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar imesema imewezesha vikundi 6,700 vya wajasiriamali Unguja na Pemba kupitia programu ya Dk Mwinyi Boasting Fund. Kupitia programu hiyo, imetoa mikopo nafuu ya Sh2.8 bilioni,  yenye lengo la kuwawezesha kiuchumi wajasiriamali wanawake katika vikundi mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Jumanne Machi 3, 2026 na Waziri wa…

Read More

Wajasiriamali Musoma wanufaika na msaada wa vifaa

Musoma. Wajasiriamali wadogo wa saluni za kike na kiume zaidi ya 60 wamepewa vifaa vya kazi kwa ajili ya kuboresha shughuli zao huku wakitakiwa kurasimisha biashara hizo ili kuepuka madhara yanayoweza kutokea, endapo hawatafanya hivyo. Msaada huo wa mashine za kukaushia nywele, za kunyolea, majaketi, sabuni na spiriti,umetolewa na Mbunge wa Viti Maalumu, Agnes Marwa….

Read More