WAZIRI WA MIFUGO AIPONGEZA TADB KWA KUREJESHA USHIRIKA WA WAFUGAJI, AZINDUA VITUO VYA KUKUSANYIA MAZIWA
Na Diana Deus- Kagera. Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kwa kushirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi, imezindua rasmi vituo 23 vya kukusanyia maziwa (Milk Collection Centers – MCCs) vilivyojengwa na kuboreshwa kupitia Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa Tanzania (TI3P). Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Dkt. Bashiru Ally…