BONDIA NAMBA MOJA TANZANIA IBRAHIM CLASS AIANDIKIA BARUA WBC KUPINGA DHULUMA ALIYOFANYIWA THAILAND

::::::   Bondia namba moja kutoka Tanzania katika uzani wa ‘Super feather’, Ibrahim Class amepinga matokeo ya pambano lake alilocheza jana Februari 28 mwaka huu nchini Thailand. Ibrahim Class alipigana na Mthailand Kritiphak Duangnut katika pambano la raundi 10 la kuwania mkanda wa WBC silver International ambapo majaji walitangaza matokeo ya sare. Baada ya matokeo…

Read More

WIZARA YA ARDHI YAZINDUA MPANGO MAALUM KUINUA WANA WANAWAKE KUNUFAIKA NA HATI, ELIMU NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDH KUPITIA SAMIA ARDHI KLINIKII

  Na.Alex Sonna-Dodoma WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha  kliniki maalum iitwayo Samia Ardhi Kliniki nchi nzima kwa lengo la kuongeza idadi ya wanawake wanaomiliki ardhi, ambapo kwa sasa ni asilimia 28 tu. Hatua hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha…

Read More

Kliniki ya ardhi kutatua changamoto za ardhi kwa wanawake

Dodoma. Serikali imeanzisha kliniki maalumu ya ardhi kwa lengo la kuwasaidia wanawake kutatua changamoto za umiliki wa ardhi, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotarajiwa kufanyika Machi 8 mwaka huu. Akizungumza leo Jumatatu Machi 2, 2026 jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nyumba, Ardhi na Maendeleo…

Read More

Jukwaa la vijana lazinduliwa Mtwara, Waziri ahimiza ushiriki wa sekta binafsi

Mtwara. Katika juhudi za kuendelea kuwezesha vijana jukwaa la vijana nchini limezinduliwa mkoani Mtwara limefunguliwa mahususi kutoa elimu ya fedha na mafunzo ya ujasiriamali yatakayowasaidia kujishughulisha kiuchumi na kujiingizia kipato. Ufunguzi wa jukwaa hilo linalowaunganisha vijana nchi nzima ni mwendelezo wa jitihada za Serikali kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation. Katika uzinduzi huu ulioongozwa na…

Read More

Viazi lishe kuinua kipato cha wakulima

Iringa. Serikali ya Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, imezindua rasmi mbegu za miche ya viazi lishe, hatua inayolenga kuimarisha usalama wa chakula, kuboresha lishe na kuongeza kipato cha wakulima wa mkoa huo. Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatatu Machi 2, 2026 katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa na kuongozwa na…

Read More