WAZIRI MKUU AKAGUA JENGO LA MAMA NA MTOTO HOSPITALI YA LUTHERANI HAYDOM
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 2, 2026 amekagua Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Kilutheri ya Haydom iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, ambalo ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 6.3. Mradi huo unalenga kuboresha mazingira ya utoaji wa huduma za mama na mtoto kwa kuzingatia viwango vya kisasa vya tiba…