Uongozi Kanisa la Wasabato wapata hisia mseto ukaguzi wa CAG
Dar es Salaam. Uongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) Tanzania, umevunja ukimya juu ya tuhuma za ubadhirifu wa mali huku ukifichua kwamba mgogoro huo una zaidi ya miaka mitano. Uongozi huo umekwenda mbali zaidi na kueleza kwamba si kawaida waumini wake kupeleka malalamiko kwenye vyombo vya Serikali na si kawaida Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu…