Mfugaji wa Kuku Ajishindia Pikipiki Kupitia Bahati Nasibu ya PigaBet

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Mjasiriamali na mfugaji wa kuku kutoka Mapinga, Bagamoyo, Raphael Emmanuel, amejishindia pikipiki kupitia promosheni ya “Shinda Boda” inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet. Akizungumza wakati wa makabidhiano ya zawadi hiyo yaliyofanyika katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam, Raphael alimshukuru Mungu pamoja na PigaBet…

Read More

Video: Israel Yaishambulia Iran Kwa Makombora Mazito

Bakari Mahundu February 28, 2026 0 Comments Israel imeanzisha mfululizo wa mashambulizi ya makombora dhidi ya Iran mapema leo Jumamosi asubuhi, kufuatia wiki kadhaa za mvutano mkali uliokuwa ukiongezeka kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump, na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah. Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, ametangaza kuwa nchi hiyo ipo katika…

Read More

Wanawake Kupata Hati Miliki Kupitia Samia Ardhi Kliniki

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetangaza kuanza kwa kampeni maalum ijulikanayo kama “Samia Ardhi Kliniki” itakayofanyika katika mikoa yote 26 ya Tanzania Bara kuanzia tarehe 2 hadi 7 Machi 2026, kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayoadhimishwa tarehe 8 Machi 2026.Akizungumza na waandishi wa habari, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,…

Read More

SERIKALI INAVYOJIVUNIA KUTANUKA KWA ATCL

SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL) limeendelea kupata mafanikio makubwa kupitia Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka mitano. Hadi kufikia sasa, shirika limefanikiwa kuwa na jumla ya ndege 16 baada ya kuwasili kwa Boeing 787-8 Dreamliner mwezi Agosti 2024. Ndege hizi zinajumuisha ndege za masafa marefu, kati, mafupi, na ndege moja ya mizigo. Ukuaji…

Read More

Hekaya za Mkevi: Guantanamo ndani ya Bongo!

Dar es Salaam. Baada ya kubainika kuwa mifungo ya Ramadhan na Kwaresma ingeanza kwa pamoja, mlevi mmoja alipita mitaani akiyumba na kubwata: “Makobe (wasiofunga) mwaka huu imekula kwenu… mwaka huu mtaandamana! Leo ndio tutakujua wewe unaitwa Jimmy au Juma…  Mwaka huu utatafuta pa kujificha usipaone!” Alitembea na chupa yake mtaa mzima akirudia bwato lake kuhakikisha…

Read More

Shingo na misukosuko katika siasa hadi ubunge

Dar es Salaam.  Kama uliwahi kusikia kuhusu neno mapito magumu katika utumishi wa kisiasa, basi mbunge wa sasa wa Ukonga, Bakari Shingo ni miongoni mwa mifano sahihi ya watu waliopita katika njia hiyo hadi kushika wadhifa alionao. Shingo aliyeianza siasa miaka 33 iliyopita akiwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anasema aliwahi kujikuta…

Read More