Mgombea wa CCM ashinda ubunge Peramiho

Songea. Mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Lazaro Bunungu ameshinda katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Peramiho, kwa kupata kura 69,002 kati ya kura 79,720, sawa na asilimia 87 ya kura zote zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, msimamizi wa uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Peramiho, Exavery Luyagaza amesema kwa mamlaka aliyopewa kwa…

Read More

Mgogoro stendi ya daladala Buza wachukua sura mpya

Dar es Salaam. Mgogoro wa stendi ya daladala katika eneo la Buza, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, umeingia hatua mpya baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Temeke kuingilia kati na kuagiza kurejeshwa kwa huduma katika stendi zilizokuwa zikitumika awali, huku uchunguzi wa kina ukianza mara moja. Mkuu wa Takukuru…

Read More

Watuhumiwa wa uchochezi watoweka baada ya dhamana, wasakwa

Iringa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limefafanua madai yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kupotea kwa watuhumiwa wanne wanaodaiwa kushikiliwa na jeshi hilo, likisisitiza kuwa, hakuna aliyepotea mikononi mwa polisi, bali baadhi yao wanatafutwa kwa kuvunja masharti ya dhamana na tuhuma za mauaji. Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2026 ofisini kwake Kamanda…

Read More

Yajue mambo yanayoharibu saumu | Mwananchi

Dar es Salaam. Katika Makala iliyopita tuliangazia sababu zinazoruhusu mtu Kisharia kufungua mchana wa Mwezi wa Ramadhani, ambapo tulibainisha sababu tatu, ambazo ni kusafri safari ya halali, ukongwe na kuumwa. Makala hii ni mwendelezo… Mwanamke mwenye hedhi au nifasi ni haramu kwake kufunga. Na akifunga saumu yake si sahihi. Mtume (Rehema na amani zimshukie) amesema:…

Read More

Kilichomshinda Shingo si Kiingereza | Mwananchi

Dar es Salaam. Baada ya kupata kigugumizi wakati wa kujinadi kwa lugha ya Kiingereza, mbunge wa Ukonga (ACT Wazalendo), Bakari Shingo, amesema si lugha hiyo iliyomkwamisha kujieleza, bali kuna mengine yaliyosababisha kile kilichoshuhudiwa. Shingo alipata kigugumizi hicho Februari 5, 2026, alipokuwa akijinadi bungeni jijini Dodoma kuomba nafasi ya Uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge…

Read More

Saida; Nahodha wa Mv Ilemela aliyeigusa jamii kipekee

Mwanza. Imezoeleka masikioni mwa watu kuwa, mwanamke ni nguzo ya jamii, lakini unapomuona Saida Khailallah akiwa kwenye usukani wa kivuko katikati ya mawimbi ya Ziwa Victoria, unagundua kuwa msemo huo una maana pana zaidi. Si nguzo tu ya jamii yake, bali ya ujasiri, uthubutu na mabadiliko ya fikra katika jamii inayojifunza kuwa uwezo haupimwi kwa…

Read More

Familia inavyoweza kujenga mtindo wa maisha wenye afya

Dar es Salaa. Katika mijadala mingi ya afya ya umma, mara nyingi mada huwa kuhusu hospitali, bima za afya, madaktari na sera za serikali. Hata hivyo, kuna ukweli muhimu ambao mara nyingi hausikiki vya kutosha: safari ya afya njema haianzi hospitalini, bali huanzia nyumbani. Familia ndiyo shule ya kwanza ya maisha. Ndani yake ndipo misingi…

Read More