STARTIMES WAMESHUSHA TENA BURUDANI KWA WATEJA WAO.
KUELEKEA Msimu wa Sikukuu za Eid na pasaka Kampuni ya Startimes imezindua rasmi Kampeni ya “Lipa tukubusti” itakayodumu mwezi mmoja tu ili kuwaweka karibu watazamaji wake kiburudani na kimichezo 100% kipindi hiki cha Sikukuu. Akizungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko wa Kampuni ya Startimes David Malisa amesema msimu huu wa Sikukuu familia…