KWIMBA WAISHUKURU TAASISI YA DORIS MOLLEL KUJENGA JENGO LA KISASA LA KIMATAIFA KUHUDUMIA WATOTO NJITI

Na Mwandishi Wetu,Kwimba WANANCHI wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza wameishukuru Taasisi ya Doris Mollel (Doris Mollel Foundation) kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Wilaya hiyo baada ya kufadhili na kusimamia ujenzi wa jengo la kisasa la Kimataifa la kuwahudumia Watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti). Jengo hilo limejengwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba, ambapo…

Read More

Mradi kurejesha misitu kutekelezwa Karatu, Monduli

Arusha. Ili kuboresha shughuli za uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, mradi maalumu wa kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa wazalishaji na wafanyabiashara wadogo wa Wilaya ya Karatu na Monduli, umezinduliwa. Mradi huo umelenga kuongeza urejeshaji wa misitu, ustahimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, uhakika wa chakula na kuongeza mitaji kwa wazalishaji na…

Read More

Ndejembi aitaka Pura kuwaandaa Watanzania kunufaika na gesi asili

Morogoro. Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (Pura) kuanza mapema kuwaandaa Watanzania kushiriki kikamilifu katika mradi wa gesi asilia kimiminika (LNG), ili wanufaike kabla ya wageni. Akizungumza leo Februari 26, 2026 mjini Morogoro wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Pura, Ndejembi amesema rasilimali…

Read More

Kaya zapiga hatua matumizi vyoo bora Ileje

Songwe. Kaya zenye vyoo bora wilayani Ileje Mkoani Songwe zimefikia asilimia 54 sawa na kaya 9,950 huku asilimia 0.2 sawa na kaya 234, hazina vyoo kabisa huku wananchi wakihimizwa kutumia vyoo vya kisasa kwa usalama wa afya zao. Hayo yamebainishwa leo Alhamisi Februari 26, 2026 na Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi wakati wa…

Read More