Dk Mwinyi, Mwigulu kushuhudia mashindano ya mabara ya kuhifadhi Quran
Dar es Salaam. Msimu wa 26 wa mashindano ya mabara ya kuhifadhi Quran tukufu yanatarajiwa utafanyika Machi Mosi, 2026 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Al-Hikma Foundation, ambao ni waandaaji wa mashindano hayo, Sheikh Nurdin Kishki amewaambia wanahabari leo Jumatano Februari 25,2026 washiriki 18 wa mchakato huo wataanza kuwasili kesho…