WAZIRI SANGU: MAHUSIANO MEMA MSINGI WA UMOJA WA TAIFA
-Ahimiza Mshikamano katika kujenga Tanzania Imara Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Clement Sangu amesisitiza umuhimu wa kudumisha mahusiano mema ili kuimarisha umoja wa Taifa na kuchochea maendeleo endelevu nchini. Mhe. Sangu amesema hayo wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Wadau wa Mahusiano kilichofanyika tarehe Februari 24,…