Kihenzile Aimarisha Ushirikiano wa Red Cross Tanzania na Afrika Kusini
Global Publishers March 22, 2026 0 Comments Johannesburg: Naibu Waziri wa Uchukuzi, ambaye pia ni Rais wa Red Cross Tanzania, David Kihenzile, ametembelea ofisi za Red Cross jijini humo na kukutana na viongozi wakuu wa Southern African Red Cross Society, akiwemo rais na katibu mkuu. Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili namna bora ya kuimarisha…