Simulizi ya Kusikitisha ya Punch the Monkey: Alikataliwa na Mama Yake, Ateka Mitandao
Punch the Monkey amekuwa gumzo kubwa mtandaoni. Video zake zimeenea kwa kasi, zikimuonesha akiwa ameshikilia toy yake ya kitambaa kwa upendo mkubwa jambo lililogusa mioyo ya watu wengi. Lakini nyuma ya umaarufu huo, kuna simulizi ya kusikitisha inayofichua mapambano yake tangu utotoni. Punch, ambaye ni tumbili aina ya capuchin, alikataliwa na mama yake muda mfupi…