Jaji Tchikaya achaguliwa rais Mahakama ya Haki Afrika
Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) imemchagua Jaji Blaise Tchikaya wa Jamhuri ya Congo (Brazzaville) kuwa rais mpya wa taasisi hiyo ya haki barani Afrika, akimrithi mtangulizi wake, Jaji Dk Modibo Sacko. Jaji Blaise Tchikaya amechaguliwa leo Februari 24, 2026 na jopo la majaji 11 wa mahakama hiyo katika uchaguzi…