Benki ya Stanbic Yazindua Lipa Simpo kwa Wateja Kupitia App
Dar es Salaam, Tanzania | Jumanne, 24 Februari 2026 – Benki ya Stanbic Tanzania imetambulisha rasmi huduma ya Lipa Simpo kwa wateja, ikiruhusu kufanya malipo moja kwa moja kupitia Stanbic App au USSD *150*29#. Hii inakuja baada ya mfumo wa Lipa Simpo kuwepo kwa muda, ukiruhusu wajasiriamali na biashara kupokea malipo kupitia QR kutoka benki…