Fanya haya ukikutana na mwenza ‘uliyemmis’

Dar es Salaam. Dakika chache za mwanzo mnapokutana na mwenza wako baada ya kutengana kwa muda, hata kama si mrefu, zina umuhimu mkubwa katika kuimarisha au kudhoofisha uhusiano wenu. Huenda mwenza wako alikuwa kazini au safarini, na kwa muda huo ukawa ukimkosa au hata hisia hizo zikaanza kupoa. Unapokutana naye tena iwe ni uwanja wa…

Read More

Pesa za mke zinaweza kuvunja ndoa?

Mwanza. Fikiria hali hii: mke anapata mshahara mkubwa kuliko mume. Je, hiyo ni baraka kwa familia au mwanzo wa migogoro? Kwa miaka ya hivi karibuni, mada hii imezua mjadala mkubwa, hasa kufuatia kazi za kitafiti zinazodai kuwa ndoa ambazo mwanamke ndiye mtoa kipato mkuu,  zinaweza kuwa na hatari kubwa ya kuvunjika. Hata hivyo,  je, ni…

Read More

Baba mdogo, mjumbe waibua mapya mauaji ya Linah

Dar es Salaam. Wakati mjumbe wa shina namba sita wa Tawi la Mkwajuni Kata ya Vijibweni, Kigamboni, Aloyce Msiagi akieleza namna mtuhumiwa wa mauaji ya Linah Kabamba alivyomburuza dada yake kutoka koridoni alikofanyia mauaji hadi chumbani, baba mdogo wa marehemu amesema marehemu alimchukua mdogo wake huyo na kuishi naye akimfundisha kazi. Linah ambaye ni mama…

Read More

Kesi za wabunge Chato zaahirishwa, sababu yatajwa

Geita. Kesi mbili zinazowakabili wabunge wawili wa majimbo ya Chato na baadhi ya madiwani, zimeahirishwa baada ya watuhumiwa kushindwa kufika mahakamani kwa sababu mbalimbali. Kesi hizo zinazowahusu Mbunge wa Chato Kusini, Paschal Lutandula na Mbunge wa Chato Kaskazini, Cornel Magembe pamoja na madiwani wanne akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Bathoromeo Manunga,…

Read More

Kesi za wabunge Chato zaahirishwa, watuhumiwa wakwama kufika mahakamani

Geita. Kesi mbili zinazowakabili wabunge wawili wa majimbo ya Chato na baadhi ya madiwani, zimeahirishwa baada ya watuhumiwa kushindwa kufika mahakamani kwa sababu mbalimbali. Kesi hizo zinazowahusu Mbunge wa Chato Kusini, Paschal Lutandula na Mbunge wa Chato Kaskazini, Cornel Magembe pamoja na madiwani wanne akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Bathoromeo Manunga,…

Read More

Uwekezaji wa Sh700 bilioni madini ya niobium kuibeba Tanzania

Dar es Salaam. Tanzania imeingia makubaliano ya uwekezaji wa Dola za Marekani 300 milioni (takribani Sh700 bilioni) na Panda Hill Tanzania Limited, hatua inayotarajiwa kuibadilisha Mbeya kuwa kitovu kipya cha biashara na viwanda. Aidha, kwa mkataba huo, imefungua ukurasa mpya wa uchumi unaolenga kuongeza thamani ya madini na kuimarisha nafasi ya nchi katika masoko ya…

Read More