TABESA YAZINDUA ‘SAUTI APP ’ KURAHISISHA MAWASILIANO KWA WENYE CHANGAMOTO YA KUSIKIA
MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas), Jocelyne Joshua, amesema wao kama kikundi cha Tanzania Biomedical Engineering Students Association (TABESA) wamebuni teknolojia maalum itakayowawezesha watu wenye changamoto ya usikivu kujumuika kikamilifu katika jamii na kueleweka kwa urahisi. Jocelyne ambaye anasomea ya Shahada ya Uhandisi Tiba amesema awali…