MASHEKHE WAMPONGEZA MBUNGE LUTANDULA KUFUTURISHA WAISLAMU

Mbunge wa Jimbo la Chato Kusini,Pascal Lutandula …………. MASHEKHE wa Bakwata Jimbo la Chato Kusini wamepongeza matendo ya huruma yaliyoonyeshwa na Mbunge wa Jimbo hilo Pascal Lukas Lutandula baada ya kuwafuturisha waislamu wasiojiweza katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Pongezi hizo zimetolewa kwa nyakati tofauti katika Sikukuu ya Eid El-Fitr na Mashekhe wa misikiti ya Bakwata…

Read More

MAHUBIRI: Nguvu ya maneno ya kinywa chako

Bwana Yesu asifiwe. Karibu kwenye tafakari ya neno la Mungu leo Jumapili. Ninaitwa Mchungaji Gasper Madumla. Somo letu la mahubiri linalotuongoza linasema “Nguvu ya maneno ya kinywa chako”.  Biblia inafundisha wazi kwamba maneno ya mwanadamu yana nguvu kubwa. Siyo sauti tu inayotoka kinywani, bali ni nguvu yenye uwezo wa kuumba, kujenga, au kubomoa. Ndiyo maana…

Read More

Rais Samia atahadharisha uhuru wa kuabudu usivuke mipaka

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kulinda uhuru wa kila Mtanzania kuabudu kulingana na imani yake, huku akisisitiza umuhimu wa kuheshimu mipaka ya uhuru huo ili kudumisha amani na mshikamano wa taifa. Ameyasema hayo leo Jumamosi, Machi 21, 2026 wakati akishiriki Baraza la Idd El-Fitr lililofanyika jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Read More

WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHAMBUA NA KUREJELEZA TAKA KUELEKEA SIKU YA TAKA SIFURI DUNIANI

………. Dar es Salaam, Machi 20, 2026 Wananchi nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kuchambua taka ngumu majumbani na katika maeneo yao ya kazi, badala ya kuzitupa ovyo, ili kulinda mazingira na kuongeza thamani ya taka hizo kiuchumi. Wito huo umetolewa na Balozi wa Mazingira wa kujitolea nchini, Moses Mwakibolwa, wakati akizungumza kuelekea maadhimisho ya Siku…

Read More

Waziri Kapinga aanza ziara China ya kuvutia uwekezaji

China. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China yenye lengo la kuhamasisha uwekezaji katika sekta za viwanda na biashara nchini. Ziara hiyo imeanza katika Jiji la Hangzhou, lililopo katika Jimbo la Zhejiang. Tayari waziri huyo ameshiriki kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji takribani 100 lililoandaliwa na China…

Read More

Waislamu nchini watakiwa kulinda amani, kuepuka matamanio

Dodoma. Waislamu nchini wametakiwa kudumisha amani na utulivu huku wakisisitizwa kujiepusha na tabia ya kuchanganya masuala ya dini na matamanio yao binafsi. Wito huo umetolewa leo Jumamosi, Machi 21, 2026 na Sheikh Omar Itara wakati akitoa mawaidha katika Swala ya Idd El-Fitri iliyofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Akizungumza mbele ya waumini, Shekhe Itara…

Read More