Mradi kurejesha misitu kutekelezwa Karatu, Monduli
Arusha. Ili kuboresha shughuli za uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, mradi maalumu wa kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa wazalishaji na wafanyabiashara wadogo wa Wilaya ya Karatu na Monduli, umezinduliwa. Mradi huo umelenga kuongeza urejeshaji wa misitu, ustahimilivu dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, uhakika wa chakula na kuongeza mitaji kwa wazalishaji na…