Video ya ‘tupike kwa bukujero’ ilivyobadili maisha ya Nisa Kitenge
Dar es Salaam. Baadhi ya watu kurasa zao za mafanikio huanza kufunuliwa baada ya kupitia magumu, misukosuko na kukatishwa tamaa. Kama dhahabu ili ing’ae ni lazima ipitishwe kwenye moto; ndivyo ilivyokuwa kwa Nisa Kitenge, binti wa miaka 24 anayejishughulisha na utengenezaji maudhui mtandaoni. Nisa amejizolea umaarufu kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram na TikTok kutokana…