Ni zamu ya vigogo CCM kufyekwa

Dar es Salaam. Fumua fumua ya uongozi au watendaji wa sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wengine inaweza kufanyika wakati wowote ndani ya chama hicho, Mwananchi imeelezwa. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika ndani ya CCM zinaeleza mchakato wa kufanya mabadiliko unaendelea ukitarajia kugusa safu za juu ya uongozi wa chama hicho tawala. Endapo…

Read More

Faida 5 za Maji ya Limao Ambazo Watu Wengi Hawazijui

Maji ya limao ni kinywaji rahisi kinachotengenezwa kwa kuchanganya maji na juisi ya limao mbichi. Kunywa maji ya limao kila siku kunaweza kusaidia kuboresha afya kwa ujumla kwa kutoa virutubisho muhimu, kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia kazi mbalimbali za mwili. Kwa mujibu wa tovuti ya afya ya Healthline, glasi ya juisi iliyokamuliwa kutoka gramu…

Read More

MALALAMIKO YA VIWANJA MBADALA YAPATIWA UFUMBUZI DODOMA

Na Munir Shemweta, WANMM Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeyapatia ufumbuzi malalamiko ya muda mrefu ya viwanja mbadala kwa wananchi wa jiji la Dodoma. Suluhisho hilo linafuatia malalamiko ya takriban wananchi 4000 wa jiji la Dodoma wanaodai viwanja na halmashauri ya jiji la Dodoma kuwapa ahadi bila kutekeleza mpaka sasa.Kauli…

Read More

Fahamu Mambo Muhimu Yasiyotakiwa Pupuuzwa Katika Gari Lako

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Kila mmiliki wa gari anapaswa kuwa makini na alama ndogo ndogo zinazoweza kuashiria matatizo makubwa yanayoweza kusababisha ajali au gharama kubwa za matengenezo. Kupuuza tatizo dogo leo inaweza kumaanisha tatizo kubwa kesho. Hapa kuna mambo muhimu yasiyotakiwa kupuuzwa kwenye gari lako: 1️⃣ Breki – Moyo wa UsalamaBreki ni…

Read More

Gabon Yasitisha Mitandao ya Kijamii Kufuatia Picha ya Rais

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments LIBREVILLE, Gabon – Serikali ya Gabon imetangaza kusitisha upatikanaji wa mitandao mikuu ya kijamii nchini humo kuanzia Februari 18, 2026, hadi itakapotolewa taarifa nyingine. Uamuzi huo umetolewa na High Authority for Communication (HAC), mamlaka ya mawasiliano ya nchi hiyo.Sababu za Serikali Serikali imefafanua kuwa hatua hiyo inalenga: HAC…

Read More