WAZIRI WA FEDHA AZIKABIDHI TUZO ZA UBUNIFU ZA TRA

::::::: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha huduma za kodi na kuongeza wigo wa kodi.  Akikabidhi tuzo hizo, vyeti pamoja na hundi kwa washindi hao Februari 25.2026, Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar ameipongeza TRA kwa kuja na Tuzo hizo…

Read More

SERIKALI KUNYOOSHA TARATIBU ZA UFADHILI.

……. Na Carlos Claudio, Dodoma. Serikali imetenga Shilingi bilioni 5 kufadhili wanafunzi 20 wa Shahada ya Uzamili katika fani za Sayansi Takwimu (Data Science), Akili Unde (Artificial Intelligence) na Sayansi Shirikishi kupitia mpango wa Samia Scholarship Extended (SSE DS/AI+), ikiwa ni sehemu ya mkakati wa taifa kuimarisha rasilimali watu katika teknolojia za kisasa. Wanafunzi 10…

Read More

RAIS MWINYI KUONGOZA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA QUR’AN DAR ES SALAAM

::::::: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mashindano Makubwa ya Kimataifa ya Qur’an Tukufu yatakayofanyika Jumapili, Machi 1, 2026. Katika mashindano hayo, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuwa Mgeni Maalum. Tukio hilo linasimamiwa na Alhikma Foundation. Akizungumza na waandishi wa habari katika…

Read More

Dada asimulia maisha ya utoto ya Kardinali Pengo

Dar es Salaam. Katika historia ya Kanisa Katoliki Tanzania, jina la Polycarp Kardinali Pengo limebeba uzito mkubwa wa kiroho; hata hivyo, nyuma ya mavazi yake ya ukardinali kuna simulizi ya familia iliyomlea na kumshuhudia akipanda ngazi za utumishi wake. Hadi Kardinali Pengo anastaafu, amelitumikia kanisa kwa jumla ya miaka 54 akiwa padri. Miaka 42 ametumika…

Read More

Takukuru yaokoa Sh85 milioni za malipo ya walimu Mwanza

Mwanza. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kudhibiti Sh85 milioni zilizokuwa zimecheleweshwa kutolewa kwa walimu wapya 77 wa shule za sekondari katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa miezi sita. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Februari 25, 2026 Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mwanza, Abnery Mganga amesema…

Read More