Biashara mtandao kurasmishwa Zanzibar | Mwananchi
Unguja. Serikali imesema inatambua umuhimu wa ukuaji wa biashara mtandaoni kama chachu ya maendeleo ya uchumi, upanuzi wa masoko na uongezaji wa ajira. Imesema kwa ufahamu huo, ndiyo sababu imechukua hatua za kimkakati kuhakikisha biashara hizo zinatambulika rasmi na kupewa mazingira bora ya kustawi. Miongoni mwa hatua zilizochukuliwa ni kutungwa kwa Sera ya Biashara ya…