Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • Katambi alia na mmomonyoko wa maadili, awaangukia viongozi wa dini

    2 hours ago
  • Sangu: Mahusiano yanaunganisha Serikali, Watanzania

    2 hours ago
  • Dk Nchimbi aonya viongozi kutumia vibaya madaraka

    2 hours ago
  • Tanzania yachaguliwa kushiriki vipengele 41 vya tuzo za utalii duniani

    2 hours ago
  • Yanga yaanika ushahidi wa Damaro, yaishangaa Simba

    2 hours ago
  • CAG abaini huduma duni kwa wazee wasiojiweza

    2 hours ago
  • Home
  • Habari
  • Page 226

Habari

  • Habari

SGR yafungua fursa, wakazi wa Kanda ya Ziwa watakiwa kuzitumia

Admin2 months ago06 mins

Mwanza. Wakati ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha tano kutoka Isaka mkoani Shinyanga hadi Fela mkoani Mwanza ukifikia zaidi ya asilimia 68, wakazi wa mikoa hiyo wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zitakazotokana na mradi huo wa kimkakati. Akizungumza leo Jumanne Februari 24, 2025 wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi huo, Waziri…

Read More
  • Habari

Kamanda Muliro Atoa Onyo Kali Dhidi ya Uhalifu Dar, Ajibu Kuhusu Alipo Mafwele – Video

Admin2 months ago02 mins

Bakari Mahundu February 24, 2026 0 Comments Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amesema Jeshi la Polisi halitavumilia vitendo vya kihalifu ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam, akisisitiza kuwa operesheni zinaendelea kuimarishwa ili kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 24, 2026, Muliro…

Read More
  • Habari

REA YAANZA USAMBAZAJI WA MAJIKO BANIFU 6,692 KATIKA MKOA WA SINGIDA

Admin2 months ago03 mins

::::::: Ilongero-Singida Wakala wa Nishati Vijijini imeanza utekelezaji wa mpango mkakati wa kitaifa wa nishati safi ya kupikia ili kufikia lengo la zaidi ya asilimia themanini 80% ya watanzania ifikapo mwaka 2034 wawe wanatumia nishati safi ya kupikia nishati ambayo ni salama kwa mtumiaji na rafiki kwa mazingira. Akizungumza wakati wa ugawaji wa majiko katika…

Read More
  • 1
  • …
  • 224
  • 225
  • 226

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo