Kihenzile Avutiwa na Uwekezaji wa Bandari ya Durban, Aisifia Ushirikiano wa Sekta Binafsi
DURBAN: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea Bandari ya Durban iliyopo nchini Afrika Kusini, kwaajili ya kujionea utendaji na uwekezaji mkubwa katika bandari hiyo inayohesabika miongoni mwa bandari kuu za kontena barani Afrika. Bandari ya Durban ina jumla ya gati 58 zinazohudumia aina mbalimbali za mizigo ikiwemo makasha (containers), magari, mizigo ya kawaida (break…