TRA PWANI YAKAMATA BIDHAA ZA MAGENDO BANDARI YA BAGAMOYO
***** Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani imekamata bidhaa mbalimbali za magendo katika Wilaya ya Bagamoyo ikiwemo viroba 50 vya mchele, madumu 10 ya mafuta ya kula na sabuni box 25 aina ya Malaika. Kwa mujibu wa Meneja Msaidizi wa Forodha mkoa wa Pwani Bi. Melinda Matinyi bidhaa hizo za magendo zimekamatwa Machi…