Waislamu watakiwa kudumisha utamaduni wa kutenda mema
Geita. Waumini wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuendelea kumfanya Mwenyezi Mungu kuwa kimbilio lao kwenye maisha kwa kudumisha matendo mema kama ilivyokuwa wakati wa Ramadhani, ili awajalie kufanikiwa katika haja zao ambazo walimuomba. Rai hiyo imetolewa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Sheikh Dauda Bushumbilo kutoka Taasisi ya Ansari Geita Mjini, wakati wa swala ya…