Chaumma yaanza kuifumua katiba yake
Dar es Salaam. Wakati mjadala wa Katiba mpya ukiendelea kushika kasi, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimezindua operesheni ya kuandika upya katiba yake, hatua inayokwenda sambamba na kuhamasisha uelewa wa umma kuhusu mabadiliko ya Katiba ya nchi. Katika utekelezaji wa mkakati huo unaolenga chama kujijenga kisiasa, Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu ametangaza…