Profesa Kitila anadi uwekezaji wa kimkakati China

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, ameitangaza Tanzania nchini China kama kitovu cha uwekezaji wa kimkakati, akisema nchi hiyo imejipanga kuwa lango la biashara, uzalishaji na usafirishaji kwa soko la kikanda na bara la Afrika. Akihutubia jukwaa la kibiashara kati ya jimbo la Shandong (Weihai) na…

Read More

Iran Yathibitisha Kuuawa kwa msemaji wa IRGC katika shambulizi la kushtukiza

Global Publishers March 20, 2026 0 Comments Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (Islamic Revolutionary Guard Corps) limethibitisha kifo cha msemaji wake, Brigedia Jenerali Ali Mohammad Naini, kufuatia shambulizi lililoripotiwa kufanyika alfajiri ya leo na kuhusisha vikosi vya Marekani kwa ushirikiano na Israel. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na IRGC leo Ijumaa,…

Read More

Mwanafunzi wa chuo kikuu afariki chumbani Morogoro

Morogoro. Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM), Hussein Rashid Omary (23) amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake katika tukio lililoibua taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo ambalo akiishi Kihonda Maghorofani. Akizungumza na waandishi wa habari leo Machi 20.2026 , Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema mwanafunzi huyo alikuwa akisoma…

Read More

Zaidi ya hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka

Shinyanga. Wakati Tanzania ikielekea kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani inayofanyika kila ifikapo Machi 21 kila mwaka imebainishwa ukanda wa Tanzania bara zaidi ya hekta 400,000 za misitu hupotea kutokana na uharibifu wa mazingira ikiwamo ya ukataji miti hovyo. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Ofisa Misitu Mwandamizi, Mkuu wa oparesheni Kanda ya Magharibi…

Read More

Ofisa wa benki ahukumiwa kulipa Sh152 milioni kwa wizi

‎Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu aliyekuwa ofisa wa benki ya Equity Tanzania Limited, Lilian Koka (27), kulipa fidia ya Sh152 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la wizi. Mbali na adhabu hiyo, Koka ambaye ni mkazi wa Ukonga, amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 12, akitakiwa kutotenda kosa lolote la…

Read More

Vita ya Iran kutikisa wakulima upatikanaji mbolea duniani

Wakati vita ya Marekani, Israel dhidi ya Iran ikiendelea kushika kasi kwa takribani wiki ya tatu sasa, moja ya changamoto kubwa ambayo iatajwa kuikumba dunia siku za usoni ni upatikanaji wa mbolea kwa wakulima. Athari za vita hivyo, inatoa mwangwi kwa wakulima hapa nchini kujiweka mguu sawa ili kukabiliana na changamoto hiyo, ambapo Tanzania ni…

Read More