Fidia Sh2.9 bilioni yafungua njia mradi wa maji Mbeya

Mbeya. Serikali imeanza mpango wa kumaliza kero ya maji mkoani Mbeya baada ya kutoa zaidi ya Sh2.9 bilioni kulipa fidia kwa wananchi wanaopisha mradi wa kimkakati wa maji kutoka Mto Kiwira wilayani Rungwe. Fidia hiyo inahusisha wananchi 819 waliokuwa na mashamba na makazi katika vijiji 10 vinavyopitiwa na mradi huo, pamoja na makaburi 79 yaliyohamishwa…

Read More

MFALME WA SWEDEN AMUAGA BALOZI MATINYI

MFALME Carl XVI Gustaf wa Sweden, amemuaga aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Jumba la Kifalme jijini Stockholm, leo tarehe 19 Machi, 2026. Katika mazungumzo yao mafupi, viongozi hao walijadiliana namna ya kuendelea kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika sekta za nishati, mazingira, kilimo, utalii,…

Read More

Mwenyekiti wa CCM Itilima afariki dunia

Simiyu. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Mhuli Ngeleja amefariki Machi 18, 2026 huku CCM ikimtaja kama kiongozi shupavu na mwadilifu. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Machi 20, 2026 na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenan Kihongosi, imeeleza kuwa chama kimepoteza kiongozi shupavu, mwadilifu na…

Read More

MVUA ZAADHIRI MAKAZI YA WANANCHI HOLILI.

WANANCHI wa Kitongoji cha Shuleni, Kijiji cha Holili Vijijini wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia athari za maji ya mvua yaliyoelekezwa kwenye makazi yao kufuatia uchimbaji wa mitaro uliofanywa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).  Wakizungumza kwa nyakati tofauti na waandishi wa habari jana, wananchi hao  wamesema hali hiyo imeanza kuleta madhara tangu…

Read More