WIKI YA MAJI: Rais Samia alivyoitoa Wizara Maji kutoka kuwa ya kero na lawama hadi ya faraja

Na: Dk. Reubeni Lumbagala Maji ni miongoni mwa huduma muhimu ya kijamii. Maji ni huduma ambayo kila mtu anahitaji tena kila siku. Utahitaji maji kwa kuoga, kupikia, kufulia, kupigia mswaki, kunyweshea mifugo, kumwagilia maua au bustani. Mambo yanayohitaji maji ni mengi. Maji haya yanapaswa kusambazwa kutoka katika vyanzo vyake mathalani mito, maziwa na mabwawa hadi…

Read More

BALOZI KAGANDA ATEMBELEA OFISI ZA TPA NCHINI ZIMBABWE

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Kamishna wa Polisi (CP) Suzan Kaganda, ametembelea ofisi za Mamlaka ya Bandari ya Tanzania (TPA) zilizopo mjini Harare na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa TPA nchini humo, Bi. Kulthum Boma kuhusu namna ya kuimarisha huduma na kuongeza ufanisi katika usafirishaji wa mizigo kupitia bandari za Tanzania. Ziara ya Mheshimiwa Balozi…

Read More

Mambo 10 muhimu kwa Muislam siku ya Eid

Dar es Salaam. Sikukuu ya Eid ni miongoni mwa siku muhimu zaidi kwa Waislamu duniani, ikiwa ni hitimisho la ibada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Siku hiyo huadhimishwa kwa furaha, ibada na mshikamano wa kijamii. Hata hivyo, mbali na sherehe, kuna mambo kadhaa ya msingi ambayo Muislam anapaswa kuyazingatia ili kuifanya siku hiyo kuwa yenye…

Read More

KONA YA MSTAAFU: Wastaafu tujihadhari na mikopo ya kununua madeni yetu

Wiki za karibuni mstaafu wetu amekuwa akishangazwa na mfululizo wa matangazo kutoka hizi benki kadhaa za dotcom zikijinasibu kwamba zitakuwa zinawasaidia wastaafu ‘kwa kununua madeni ya mikopo yote tuliyojiingiza kwa shida zetu zisizoisha, halafu benki hizo zitatusaidia kwa kutukopesha mikopo mingine juu ya ile iliyo nunuliwa. Pole yetu. Iko hivi. benki zinazodai kuwa ziko karibu na…

Read More

TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa, wananchi waonywa

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya tahadhari na angalizo la mvua kubwa kwa mikoa kadhaa, ikisisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari stahiki ili kuepuka madhara yanayoweza kutokana na hali ya hewa mbaya. Katika taarifa hiyo, TMA imetahadharisha kuwa Ijumaa ya  Machi 20, 2026, kunatarajiwa kuwa na mvua kubwa…

Read More

WANACHUO WAFUNZWA NAMNA YA KUEPUKA UDANGANYIFU SOKONI⁸

  Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi FCC Bi.Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusu masuala ya kumlinda mlaji na mikataba ya walaji kwa wanafunzi wa Chuo Cha Ufundi Stadi VETA Kibaha ,ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mlaji Duniani 2026. …. KATIKA harakati za kuimarisha uelewa wa haki za walaji nchini, Tume ya…

Read More