TWCA yagawa vitabu kuhamasisha masomo ya biashara
Dodoma. Katika juhudi za kuimarisha elimu na kuwajengea wanafunzi msingi imara wa taaluma za biashara, Chama cha Wanawake Wahasibu Tanzania (TWCA) kimetoa msaada wa vitabu 310 vya masomo ya biashara kwa Shule ya Sekondari Chinangali. Hatua hiyo imekuja kama mwanga mpya kwa wanafunzi waliokuwa wakikabiliwa na changamoto ya uhaba wa vitabu, hali iliyokuwa ikiathiri uelewa…