Mawakala wa forodha kutumia mifumo ya malipo kidigitali, Serikali kuvuna kodi
Dar es Salaam. Mawakala wa forodha Tanzania wamesema mfumo wa malipo ya kidigitali wa Capital Pay utawawezesha kupata malipo rafiki ya huduma wanayotoa pamoja na Serikali kupata kodi yake halali. Mawakala hao wamesema tayari wamejiandaa kutumia mifumo ya kidigitali, baada ya kuwasilisha serikalini kima cha chini cha gharama za utoaji huduma zao ili kitangazwe katika…