NAIBU WAZIRI UCHUKUZI DAVID KIHENZILE ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MASUALA YA UCHUKUZI NCHINI AFRIKA KUSINI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile, ameshiriki Mkutano wa Kimataifa wa masuala ya Uchukuzi (NCT), mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Gallagher Estate, uliopo Johannesburg, Afrika Kusini. Mkutano huo ulifunguliwa na Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. Sambamba na ushiriki huo, Naibu Waziri pia ameshiriki katika Mjadala wa Mawaziri wa Uchukuzi ukiwa na Mada isemayo: “Leadership…