Qatar Yatoa Onyo Kali kwa Iran Kuhusu Mashambulizi ya Kombora – Video
Global Publishers March 19, 2026 0 Comments Serikali ya Qatar imetoa tamko kali ikilaani mashambulizi yaliyofanywa na Iran dhidi ya vituo vya nishati nchini humo, ikiyataja matukio hayo kuwa “uchokozi wa kishenzi” uliovuka mipaka ya sheria za kimataifa. Katika taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar, taifa hilo limesema mashambulizi hayo ni…