Ajali yaua wanne Rombo wakitokea matembezini
Rombo. Vijana wanne ambao ni mafundi ujenzi wamefariki dunia baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na gari aina ya Noah eneo la Shimbi, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro. Vijana hao wenye umri kati ya miaka 19-20 ni wakazi wa Kijiji cha Shimbi Masho, Kata ya Kwa Ndele, walikuwa wanatokea matembezini. Akizungumza na…